Jmn napenda sana video zenu MashaaAllah zina furahisha lkn apa kwnye ichi kilugha ndio nashindwa kuelewaaa jitahidn kuongea kiswahl bc angalau niwe nawaelewaaa😂😂😂
sisi wazanzibari tunapenda sana kuangalia hizi filamu zenu lakini tatizo lughaa hii ni lugha gani? au ndio kimombasa? naomba jibu jamani. kwani wamombasa kiswahili chao hakiachani na chetu au ndio kidigo? kwani wadigo si watu watanga? au na mombasa wapo?
Lugha inayotumika ni kiswahili na kidigo,hkna lugha yakimombasa ila pwani ya kenya kuanzia kivukoni likoni hadi lungalunga ni wadigo kuvuka kuingia tanga ni wadigo japo kuna utofauti wa matamshi,mdigo wa kenya na mdigo wa tanga tofauti ni matamshi lkn wanaelewana
😂😂😂😂Mma madikodiko na wifi yke heheheheee kaz nzuriiiiii saaana
Rudi kwa mmeo😂😂😂 Big up bro❤❤❤❤
Shemegi balaa wifi kasheshe pole madikodiko much congrats kazi nzuriiiiiiiiiiiiiiiii
😂😂😂😂😂😂😂mwanamke mmbea kama kuku wakishungi
😂😂😂😂😂 kazi nzuri ende kwa mumewe yumoto
Kazi nzuri sana watu wa msambweni mpu dadaetu katuwakilisha vizuri #mkaza mwamadi 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂asena kaza mwadi eti nn rasinya irii dzichetu😂😂😂😂uya kwa madi😂😂😂😂
😂😂😂😂weunamanya kugita nakufikire kojikoni jamani😅😅😅
Mkaza mwamadi😂😂😂
Mimi ni kutoka kenya,sisi lugha yenu mgumu sana,tumia lugha ya kiswahili tafadhali,
Mkaza mwamadi ukazidi uya pkwa mwamadio hiko 🤣🤣🤣🤣
Siuya😅😅😅
Mashaallah kazi nzuri 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
😂😂😂😂hizo ndio shida za mawifi lazima uzizowe ukiwa waipenda ndoa yako,# Bujra safi sana bro ❤ chipindi chinono sana.
Hahah imeweza ila mkaza mwamadi na beka wameshindikana vivurugi big up 🎉
Mkaza bujra kwa uyo mkaza mwamadi yuakushinda ungemfinika na ilo wowowo kakake akija ampeleke hospital 😀😀😀 mawifi wengine shida tupu
Podzo purure😂😂😂😂mriche wifi bwana phia kpwako😂😂
Mmenifanyanicheketu mkazamwamady kwaniunani kondo tuuuu😅
Madikodiko apendwi na wifi wala shemeg beka ruga akiingia akukalik❤
Kwake kumearibika pia ywataka kwa mwenzke kuaribike mkza mwamadi😂😂😂
Ye wifimngwa ana mdomo ama unamuaza ye mwenenu bujra 🤣🤣🤣
Keeeeh podzo zikabiwa na madzi kwa tsumvi😂😂😂
Mkaza mwamadi samwaliku😅😅
hizi film ni nzuri sana lkn kiupande mwengine mwatuaribia ss watu wa msambweni tukaanza kuremewa kare naambwa alume amsambweni anaulimi😂😂😂
Mawifii jamani shida
Jmn napenda sana video zenu MashaaAllah zina furahisha lkn apa kwnye ichi kilugha ndio nashindwa kuelewaaa jitahidn kuongea kiswahl bc angalau niwe nawaelewaaa😂😂😂
Hicho kilugha ndio kinaongeza ladha
Kazi nzuri🔥🔥🔥🔥
Mawifi jmn😂😂😂😂
sisi wazanzibari tunapenda sana kuangalia hizi filamu zenu lakini tatizo lughaa hii ni lugha gani? au ndio kimombasa? naomba jibu jamani. kwani wamombasa kiswahili chao hakiachani na chetu au ndio kidigo? kwani wadigo si watu watanga? au na mombasa wapo?
Lugha inayotumika ni kiswahili na kidigo,hkna lugha yakimombasa ila pwani ya kenya kuanzia kivukoni likoni hadi lungalunga ni wadigo kuvuka kuingia tanga ni wadigo japo kuna utofauti wa matamshi,mdigo wa kenya na mdigo wa tanga tofauti ni matamshi lkn wanaelewana
Bro nawakubali sanaaaa mafunzo makubwa kakangu kijana wa Wayzata😊
rudi rudi wifi kwa mume mume kakushinda unataka kujipa madaraka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha hongera
Aki wifi kama huyu....nikijua anakuja, heri nimfungie mlango 😂😂😂kuliko kuingia na kelele zake
Superb
Mkaza mwamadi unachibako
Munyu avi ukajita na madzi ga pwani😂😂😂😂
Wifi uyo 😅😅😅😅😅😅😅
Msungo huyo
Chidigo chitamu😂😂😂😂
👏👏👏✌️
Mtamuua madikodiko wa watu
iku shemegi iku wifi 😂😂😂😂😂😂anafujo inyo taa
❤❤❤❤❤ ransinya riiiii dzichetu🤣🤣
😂😂😂😂
Safi sana ❤❤❤❤
😂😂😂 amazing
😅😅😅😅
😂😂😂ma wifi bana
Ongea lugha yakufahamika
Km huelewi kauka mbona movie nying tu wtu huongea lugha yao kma huelewi tfuta yenye unaelewe
😅😅😅😅😅kazi ipo
😂😂😂😂 ❤❤❤
Hahaha ransinya
Mkaza mwamadi 😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂